Mwakubusi auliza "Waliodhihaki kuhusu Samia Legal aid vipi leo wamesema chochote kuhusu TBC Live ?"

Mwakubusi auliza "Waliodhihaki kuhusu Samia Legal aid vipi leo wamesema chochote kuhusu TBC Live ?"

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Wakili Msomi na Rais wa TLS Boniface Mwakubusi ameuliza kupitia mtandao wa X kama wale walioidhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid kama wamesema lolote kuhusu jambo fulani kupewa LIVE Coverage na TBC.
1000017612.jpg
 
Mbowe ni mchagga, hakuna mchagaa anakataa pesa.
alikula pesa ya Lowassa na sasa anakula pesa za Abdul.
 
Back
Top Bottom