Mwakyembe acha kuivuruga Yanga

Mwakyembe acha kuivuruga Yanga

Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi wao kwa kutumia katiba yao na pia hao TFF wajitathimini sana kwa kuwa na ndimi mbilimbili.

Kama walimtoa Sanga kwenye nafasi ya uenyekiti wa vilabu vya ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa kudai kuwa Manji karejea kazini inakuwaje leo hii TFF hiyo hiyo inamkataa Manji kuwa bado ni mwenyekiti wa Yanga?

Hii ni mbinu ya kutaka kuleta mgogoro ndani ya hawa mafarasi wakubwa wa soka la Tanzania.
Wanayanga bwana mnataka Manji aurudie uenyekiti wake kama alivyofanya prof.lipumba?
 
Lipumba ana nia ya kuivuruga cuf jambo ambalo amefanikiwa tofauti na Yanga na Manj kwani hakuna asiyejua maswahibu yaliyo mkuta na kupelekea akae pembeni
Wanayanga bwana mnataka Manji aurudie uenyekiti wake kama alivyofanya prof.lipumba?
 
Dawa yao hao Tff ni kigezo cha akidi ya wapiga kura na wakitaka hao tff wakapige kura
Ushawishi upi?
Kesharudi na barua kandika lakini wana Simba qa TFF hawataki. Watuletee Hans Poppe tujue moja.
 
Tunasonga sana ndiyo maana leo tupo kileleni tukijidai na point zetu 35 na hatujafungwa
Yanga songeni mbele, acheni kulialia. Si TFF wala Mwakyembe waliomtoa Manji. Mkishindwa kumshawishi Manji kurudi inabidi mtazame mbele
 
Bado hiyo si permanent solution ya vilabu vyetu. Ukitaka kujua kuwa hata kampuni ya Simba ni one man show MO Dewji ajiengue au apate Matatizo. Wana Simba wote kuanzia Mtwara hadi Bukoba watakuwa wagonjwa. Permanent solution ya hizi klabu zetu ni kuwa na mfumo wa kampuni ambao hamtegemei mtu mmoja kimaamuzi na kifedha. Hapo ndipo tutaondokana na majinamizi ya Manji na MO Dewji. Hili linawezekana kabisaaa ndugu zangu.
Ni kweli,
Sasa hivi Simba ni kampuni, na ina malengo ya kujiimarisha zaidi kisoka na wala haipo tena kwenye upenzi wa mtu mmoja mmoja.
Simba tunafikiria kumshawishi Tajiri na mshabiki wa Yanga Mheshimiwa Rostam Azizi aje anunue hisa kwenye kampuni ya
" Simba Company Ltd.
Hapa ni Uwekezaji tu, tulishachoshwaga na kuachaga habari ya kumlilia lilia mtu mmoja yaani Azim Dewji.
Yanga kama mnataka kuboresha timu yenu waigeni Simba sc. na mtu sahihi kwenu ni Bwana Rostam Aziz.
Kinachotakiwa kwenu kwa sasa ni kumshawishi na kumhakikishia tajiri Rostam kuwa, Pesa atakayoweka hapo itazaa faida na italindwa.
Huyo ndiye mtu sahihi kwa sasa na inabidi mumuwahi kabla ya hajabadili mawazo ya kuishabikia Yanga fc.
do
 
Kwani wanaelewa? Wamebakiwa na makelee tu, Moo, Moo, Moo Vila kufikiri ya kesho itakuwaje Vila moo.

Back
Top Bottom