Mwakyembe acha kuivuruga Yanga

Wanayanga bwana mnataka Manji aurudie uenyekiti wake kama alivyofanya prof.lipumba?
 
Lipumba ana nia ya kuivuruga cuf jambo ambalo amefanikiwa tofauti na Yanga na Manj kwani hakuna asiyejua maswahibu yaliyo mkuta na kupelekea akae pembeni
Wanayanga bwana mnataka Manji aurudie uenyekiti wake kama alivyofanya prof.lipumba?
 
Dawa yao hao Tff ni kigezo cha akidi ya wapiga kura na wakitaka hao tff wakapige kura
Ushawishi upi?
Kesharudi na barua kandika lakini wana Simba qa TFF hawataki. Watuletee Hans Poppe tujue moja.
 
Tunasonga sana ndiyo maana leo tupo kileleni tukijidai na point zetu 35 na hatujafungwa
Yanga songeni mbele, acheni kulialia. Si TFF wala Mwakyembe waliomtoa Manji. Mkishindwa kumshawishi Manji kurudi inabidi mtazame mbele
 
Bado hiyo si permanent solution ya vilabu vyetu. Ukitaka kujua kuwa hata kampuni ya Simba ni one man show MO Dewji ajiengue au apate Matatizo. Wana Simba wote kuanzia Mtwara hadi Bukoba watakuwa wagonjwa. Permanent solution ya hizi klabu zetu ni kuwa na mfumo wa kampuni ambao hamtegemei mtu mmoja kimaamuzi na kifedha. Hapo ndipo tutaondokana na majinamizi ya Manji na MO Dewji. Hili linawezekana kabisaaa ndugu zangu.
do
 
Kwani wanaelewa? Wamebakiwa na makelee tu, Moo, Moo, Moo Vila kufikiri ya kesho itakuwaje Vila moo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…