Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Ukabila ukabila ukabilaWamng'oe tu nakubaliana na Mwakyembe. Uyu Malinzi kaua soka letu,kaweka pesa mbele kama mwanaccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila ukabila ukabilaWamng'oe tu nakubaliana na Mwakyembe. Uyu Malinzi kaua soka letu,kaweka pesa mbele kama mwanaccm.
Natumai amenielewa, jamaa ni muelewaEndelea kumpa darasa
so ulitegemea mwakyembe athibitishe kuwa ni kweli?Mmmmh mkuu kumbe ni tetesi sio habari rasmi??
mmh bora iendelee kubaki tetesi tu..hahahaso ulitegemea mwakyembe athibitishe kuwa ni kweli?
Naongelea BMT - Baraza la Michezo Tanzania chini ya El-maamry wakati alipokuwa na mgogoro na Ndolanga akiwa FATSio BMT ni FAT
Sawa nakumbuka hiyoNaongelea BMT - Baraza la Michezo Tanzania chini ya El-maamry wakati alipokuwa na mgogoro na Ndolanga akiwa FAT
hivi kilichomfanya malinzi kumvunjia mkataba kim paulsen wakati timu ilikua na mwenendo mzuri ni kipi?!Huu mkakati ulitumiwa na USA kumng'oa Sepp Blatter urais wa FIFA
JF ni kibokoJamaa yupo busy sana na ule uzi wa kupeana like,mpaka watu wa amuwahi to be first reply
Kabisa Mkuu asipewe kabisa nafasi ya kugombea tena inatosha fisadi na mkabila sana huyoBora atimue hilo jambazi kuu
Mimi hadi leo hii sielewi jamaa alikuwa anawaza nini?hivi kilichomfanya malinzi kumvunjia mkataba kim paulsen wakati timu ilikua na mwenendo mzuri ni kipi?!