Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

Hii vita ngumu sana! Hizo NGO zenyewe zinategemea donors ambao ni wazungu
 
Bichwa komwe na Cocastic njooni huku mjitetee

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani ana mda wa kuhangaika na futuhi zisizo na mpango??

Serikali yako tukufu imetoa neno gani kuhusu hili? Vipi Kamala si katoka juzi hapaa? Unajua alikuja kufanyajeee??

Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezaaa sautiiiii wasikie hadi viziwiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Ukitakaa kula, sharti uliwe" kwa Sauti ya JK.

watu weuweeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Support hii inatokana na Usukuma gang

Umesema vyema mkuu. Unatakiwa ujisimamie wewe kama wewe na familia yako. Hakuna mtu atakufata nyumbani kwako na kukuambia nenda kawe shoga. Ushoga unatokana na tamaa ya watu kupenda vya bure
Ongezaa sautiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamala aliambiwa asizungumzie suala LA [emoji2380][emoji2380][emoji2380] kwani serikali itakosa jibu LA 1 kwa 1 hivyo kuweka taharuki kwa wana nchi, ila kila kitu kitakua sawa kadri ya makubaliano ya mikataba kimataifa.

Imeishaaa hiyoooo, na kamala kasema kuna fungu linaletwaaaa LA pesa ndefuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezaaa sautiiiii wasikie hadi viziwiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Ukitakaa kula, sharti uliwe" kwa Sauti ya JK.

watu weuweeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa, wao wanataka kula vya wenzao tu🤣🤣🤣
 
Muhimu hatua staiki zichukuliwe ili kuokoa hiki kizazi kinachoelekea kupotea.
 
Kamala aliambiwa asizungumzie suala LA
kwani serikali itakosa jibu LA 1 kwa 1 hivyo kuweka taharuki kwa wana nchi, ila kila kitu kitakua sawa kadri ya makub
Sawa, suala hili linaeleweka vilivyo kwenye korido za Serikali. Isitoshe msimamo wa Serikali ushatolewa, na hivyo kujulikana. Kilichofanyika ni kukwepa kuongeza vumbi la kisiasa ambalo limekuwa limeteka vichwa vya habari nchini na kupoteza uhalisia wa Ujio wa Kamara nao ulikuwa ni Biashara na Uwekezaji. Angeongeza maneno, hakuna ambacho kingeonekana, its that simple. Maneno mengine sijui ya haki na nini hayakuwa na tija yeyote ile....Btw between Mama na Mama walielewana na ndio hatukusikia akiyazungumzia mambo ya haki

Nikuulize, wewe unafikiri nilikuwa nasema nini? Naona kana hukunielewa
 
Support hii inatokana na Usukuma gang wako japo ushoga siyo mzuri kwenye nchi yetu
Unachotaka kusema ni nini....sema unachotaka kusema kama mwanaume, nyoko nyoko za nini.
 
So umefurahi eeeh
 
Mziki na wasanii wenu asilimia kubwa nao wana promote ushoga
Media zimejaaa mashogaaaa

Ova
Alafu machoko sasa yanavyokimbiliaga kuoa mapema sasa kumbe ili yafiche uchoko wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…