Mwakyembe alitumika kumuumiza Lowassa kwenye kashfa ya Richmond

Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mh. Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya ripoti yake ili aweze kusema hata siri waliyoificha ili kuikoa serikali isiporomoke yote.

Kwa maneno hayo mimi nilliewa kuwa kumbe tume ile iliwasilisha ukweli nusu na hivyo kumtoa kafara Lowassa na mawaziri wawili ili kumwokoa rais ambaye kwa maneno ya Mwakyembe kama wangeyasema yote, ingesababisha serikali yote kuporomoka.

Kwa ufupi nilivyoelewa ni kuwa taarifa ile ilikuwa inamgusa Rais moja kwa moja na kwa maana hiyo alipaswa kuondolewa madarakani lakini akaokolewa na tume kwa kuficha siri.

Hivyo kilichofanyika ilikuwa ni kukivunja kichwa (Lowassa) kwa kosa lililofanywa na ulimi (rais). Na ndio maana katika kikao kimojawapo cha chama Lowassa alimuhoji mwenyekiti kuwa ni jambo gani ambalo yeye aililifanya ambalo yeye hakujua au kumtuma?

Ni wazi Harrison Mwakyembe alitumika na Spika Sitta kumuumiza Lowassa kwa vile Sitta na Lowassa wote walikuwa wanautaka u PM kama build up ya U-Rais wa 2015
Lowassa aliumizwa na KIKWETE acheni kupepesa maneno, Mwakyembe na hayati Samwel Sitta walitumika tu ( deep state),kumuokoa kijana wa msoga
 
Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya ripoti yake ili aweze kusema hata siri waliyoificha ili kuikoa serikali isiporomoke yote.

Hapana . Yatupasa kumpongeza mwakyembe. Aliliokoa taifa. Jamaa alitupiga kweli. Na huu ndiyo ujinga wa wanasisasa.wanaiba mali za umma mwishowe kifo kinakuja kuwanyoosha kama hivi. Funzo kwenu wale mnaendelea kuwaibia Watanzania,kifo kipo mbele yenu. Pumzika Lowasa naamini uliwaomba radhi Watanzania kabla ya mauti
 
na haijamsaidia chochote hadi leo.
 
March 2024 naye atakuwa R.I.P
 
Hivi ile tindikali iliishia kubabua ngozi tu au hadi ubongo wa Mwakyembe?
 
Lowassa aliumizwa na KIKWETE acheni kupepesa maneno, Mwakyembe na hayati Samwel Sitta walitumika tu ( deep state),kumuokoa kijana wa msoga
Nashukuru UMETHIBITISHA kichwa cha mada yangu. Hata mimi sijasema Mwakyembe alimuumiza Lowassa.

Rudi usome tena troiker ili povu likupungue
 
Hapana . Yatupasa kumpongeza mwakyembe. Aliliokoa taifa. Jamaa alitupiga kweli. Na huu ndiyo ujinga wa wanasisasa.wanaiba mali za umma mwishowe kifo kinakuja kuwanyoosha kama hivi. Funzo kwenu wale mnaendelea kuwaibia Watanzania,kifo kipo mbele yenu. Pumzika Lowasa naamini uliwaomba radhi Watanzania kabla ya mauti
Unampongezaje mtu aliyeficha ukweli kwa ajili ya kumhifadhi JK? Hivi watu wengine mnatumiaje vichwa vyenu? Au mnafugia nywele tu kama bustani
 
Back
Top Bottom