Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Mondi huyu bwana mdogo anajitahidi sana kuleta mapinduzi katika tasnia hizi 2 Music na sasa Habari na Utangazaji.Hizi media kubwa zinatikisana kishenzi miaka ya karibuni.
SOON kuna mtu atavunja kibubu ili kujibu mapigo. Ujue navuta picha hicho kikao cha majizo na akina mkule na wenzake kilikuwaje hadi akawaruhusu waondoke. Je aliridhia kiroho safi! Au wameshampa maslahi! Au ana mpango wa kusajili league one!
Bwana mdogo anastahili pongezi Kwakweli