Mwakyembe ampongeza Diamond na Wasafi kuzindua kipindi cha sports arena

Mondi huyu bwana mdogo anajitahidi sana kuleta mapinduzi katika tasnia hizi 2 Music na sasa Habari na Utangazaji.

Bwana mdogo anastahili pongezi Kwakweli
 
Binafsi sidhani kama ni sawa kuwaweka watangazaji wazuri kipindi k1
 
Tatizo sio kuzindua. Mantainace ya ubora na kuvuta wasikilizaji wapya that's only matter. content n za kushibisha kiu ya wasikilizaji?
Nyie ndio mashabiki wa mbwiga wa mbwiguke wa clouds fm,baki hivyo hivyo na content za mbwiga.
 
Vipindi ni viwili asubuhi na jioni,pia kuna wakati mwingine wengine wanakuwa likizo au zamu zamu au wengine wanakuwa na majukumu nje ya studio,hata hao ni wachache bado.
Binafsi sidhani kama ni sawa kuwaweka watangazaji wazuri kipindi k1
 
kitenge huyo huyo alie mdiss mond kweny msiba wa ruge baada ya kuingia na mabaunsa Saba..... Leo ndo kamuajiri wasafi ama kweli usimtukane mamba kabla ujavuka mto
 
Hata jana Mwakyembe ametoka kuwapigia saluti Wahadzabe kwny mambo ya ngoma za asili kule Arusha.
Ushashiba ubwabwa wa Konde boy mwenyewe una comment chochote kinalokujia kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…