Mwakyembe anapenda wachezaji ndani wanaocheza ligi kuu wasilipwe mishahara

Kitokoo

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
52
Reaction score
135
Tumesikia baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa wamegomea mazoezi kutokana na kutokulipwa mushahara yao.

Lakini cha ajabu waziri wa michezo badala atoe tamko kwa club jinsi yakufanya ili waweze kuyamaliza maswala ya mishahara yeye anapinga uwelezaji wa Simba nakutaka
49% zimilikiwe na wawekezaji watatu.

Yanga wamekosa angalau mwekezaji mmoja wakuweza kuwalipa wachezaji mishahara yao je hao watatu watapatikana wapi?

Ingekua vya kama ungetoa ushauri kwa Yanga jinsi yakujikwamua apo walipo kuliko.

Alafu ni wazi kabisa inaonesha hupendezwi na mafinikio ya mpira wa Tanzania pamoja na Simba
 
Moise Katumbi wa Bongo anadhibitiwa Mapema maana Wahindi hawaaminiki
 
Hawaaminiki kivipi mkuu

Kwa mujibu wa wenye Mamlaka

Kwa mujibu wa Nyaraka zilizopo BMT, TFF na Wizaran mpaka Leo Mzee Kilomoni anatambulika ndio Mdhamin mkuu wa Simba
 
MO atuachie timu yetu sisi wanachama wazalendo tutaiendesha vizuri tu
 
Mo afanye mambo mepesi ,awachukue wadogo zake wagawane hisa ,mambo yaishe
 
hiz nchinzetu bana, kule kwa vyura jamaa kaletewa zengwe mpk akaamua yaishe, huku kwa mikia nako jamaa kawekeza kdg nongwa zimeshaanza, kaazi kwelikweli...............jamaa ni heri angeendelea tu na biashara zake maana huku alikoingia anapoteza tu mda wake
 
Pohamba yule mzee sio Mdhamini.... Ni MMILIKI halali kama AKILIMALI
Kwa mujibu wa wenye Mamlaka

Kwa mujibu wa Nyaraka zilizopo BMT, TFF na Wizaran mpaka Leo Mzee Kilomoni anatambulika ndio Mdhamin mkuu wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…