Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Katika suala lolote lililo na utata LAZIMA LAZIMA mtu ahojiwe. Hata kesi Mahakamani bila ushahidi ni upungufu mkubwa sana. Suala la Richmond kulikuwa na upungufu mkubwa sana kwa kutomhoji Mhe. Lowassa. Yeye anaweza kuamini kuwa ALIONEWA.
 
Yaani Mwakyembe ana Hasira Na Lowasa sijui walikosana nini! Si umpeleke tu Mahakama uliyosaidia kuasisi ya Mafisadi?
 
Yaani Mwakyembe ana Hasira Na Lowasa sijui walikosana nini! Si umpeleke tu Mahakama uliyosaidia kuasisi ya Mafisadi?
HATHUBUTU ,
Mahakamani sio pa mchezo. Isitoshe hana kesi ya kumshtaki nayo Lowassa, angekua nayo asingeweweseka hivyo. Kama utakumbuka wakati wa uchaguzi Lowasa alisema wapeleke kesi mahakamani , hapo Mwakyembe alikuwa hajafufuka!?
 
Mwakyembe amefeli sana. Nilitegemea mwanasheria kama yeye lile swala alipeleke kwenye ile mahakama yao iliyokosa watuhimwa maarufu kama MAHAKAMA YA MAFISADI.

Hizi porojo za kunyoana kwa chupa sijui zimetoka wapi!

Mwakyembe is a hopeless fellow..! Ndio maana mwajiri wake akamdharau na kumpa wizara isiyohitaji msomi.
 
Rudisheni hoja ili tujue mbivu na mbichi
 
You are an imbecile. Mnaolalamika kuwa alionewa ni CDM. CCM tulimkata kwa sababu tulikuwa na ushahidi wa yeye kutokuwa Mwadilifu. Ninyi mnaolalamika leteni hoja

Kwanza acha hoja za kitoto. Kutokuwa mwadilifu au fisadi??
You are an imbecile. Mnaolalamika kuwa alionewa ni CDM. CCM tulimkata kwa sababu tulikuwa na ushahidi wa yeye kutokuwa Mwadilifu. Ninyi mnaolalamika leteni hoja

What you are saying don't make sense. Mlimkata kwa sababu "hakuwa mwadilifu" je kukosa uadilifu ilikuwa ni pamoja na kuwa fisadi? au alianza kuwa fisadi lini? Maana kama alikuwa fisadi (kabla hamkamkata), unafikiri adhabu ya fisadi ni kukatwa na si kufikishwa mahakamani?? Now you know who is an imbecile??
 

Mkuu, the world is "Liar" and you know it is typo from the way i used it. Wewe hukujifunza kingereza shuleni? don't be silly....kisha unapoteza muda wangu na maneno mengi yasiyo na msingi... ESCROW na Richmond hazifanani kwa namna yoyote kwako? halafu tukisema low IQ mnakasirika..
 
Ni Tanzania pekee ambapo waziri anayelipwa na kodi za wananchi anawadhihaki wananchi kuwa anajua ufisadi ila hataki kusema. Amebaki kutishia pale anapolemewa na kitu fulani.
 
Kwani ukisema ulikosea anadhani utachekwa???? wewe ulikwenda shuleni kujifunza kuongea na kuandika kiingereza tu kama ungekwenda shuleni kwa maana ya kwenda shule basi ungejua kwanini nilikukosa. Unapotaka kutukana watu jaribu kuwa mkamilifu mwenyewe. Wewe uliuliza IQ za watu wakati wewe mwenyewe huko mkamilifu. Me say
 
Data anazo. Alikuwa waziri wa sheria karibia miaka miwili na ameshindwa kumfikisha mahakama ya mafisadi. Kwani bunge ni mahakama? Wasichezee hela za walipa kodi.
 
Pelekeni hoja ya richmond uone kama lijinga
Na hizi zingine utalepeka lini?
Kagoda, rada, epa, escrow, lugumi, kiwira, Richmond, serikali, mikataba mibovu ya madini,......Nyumbu nyie mnaharibu nchi. Mahakama ya mafisadi inafanya nn kwa ufisadi wote huo......Kazi ya mahakama zenu nyima akina lema dhamana na kufunga wapinzani jela bila sababu za msingi na baadae kuachiwa huku watafuna raslimali za nchi wakitembea kifua mbele mtaani....
Na unyumbu wenu wa Lumumba ndo umetufikisha hapa.......WOTE MABASHITE
 
Nitachekwa na nani, na wewe? ha ha, don't be ridiculous....., the rest you are talking shit. Ndiyo nimekuweka kwenye group ya low IQ. Hampendagi tu kuambiwa ukweli. Mbona wewe umeniambia kuhusu typo? when you talk nonsense, we should say so.
 
Mwakyembe ataleta ukweli gani tena mwingine wakati amekiri yeye mwenyewe bungeni tena waziwazi kuwa hakumpa Lowasa natural justice ya kusikilizwa?
Tatizo kubwa ni kuwa tunakariri sana pasipo hata kuelewa kwa nini jambo fulani linafanyika, mazingira yepi yanapelekea natural justice kufanyika. Kila kitu natural justice natural justice. Mfano itokee waziri amelewa, anatoa hotuba huku anapepesuka, anaongea dirty huku TV zikiwa live bado mtataka natural justice. Memo aliyoandika ipo wazi, kinyume cha utaratibu wa manunuzi, official letter ipo akielekeza mchakato wa manunuzi usifuatwe eti kuokoa taifa na giza bado tu unataka natural justice. Ninyi ndio wale mnakaa kimya wakati mkichojolewa nguo mnaongoja mpaka mkongomekwe dude kwa ajili ya kupata ushahidi wa kushtaki mahakamani
 
Maa

Maadili ni pamoja na kutokuwa fisadi. Dhambi yoyote iwe uzinzi, wizi, kusema uwongo etc ni ukosefu wa Maadili. So you now prove that you are are a professional IDIOT!
 
Maa


Maadili ni pamoja na kutokuwa fisadi. Dhambi yoyote iwe uzinzi, wizi, kusema uwongo etc ni ukosefu wa Maadili. So you now prove that you are are a professional IDIOT!

Tatizo la kwanza, you don't read between the lines. Hapo juu nilisema, kwa nini unasema nilimwacha kwa "Kukosa maadili" (Ufisadi) wakati mlitakiwa kuwa mmemfikisha mahakamani??? Yaani fisadi badala ya kufikishwa mahakamani wewe unasema unamwacha kwa kukosa maadili! I told you before, you write BS but try to be defiant and defensive. Be just a little smart dude..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…