Mwakyembe azungumzia Kauli ya Kabudi kuwa Azory Gwanda amefariki

"".. Siri imefichuka, siri imefichuka..x 3 Profesaa kaleta balaaa, Profesaa kaleta mikosiii eeeh...... "🎺🎼
 
mauaji tu. hakuna mwenye jibu wakati anahusika moja kwa moja. Mchawi hata siku moja hakubali kama anaroga.
 
mtu akishastaafu muacheni jamani sasa mnapoanza kumfanyisha masafari huku anatakiwa kulea wajukuu haya ndiyo matokeo yake
 
Kafariki au kauawawa? Maana mke wa marehemu anasema alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni wanausalama.
 
Kabudi inaonekana yupo karibu na ukweli. Alipoonopa ni kusema amekufa, usahihi ungekuwa aliuawa na walioenda kumchukua na kujitambulisha kuwa walikuwa ni wanausalama.
 
Sasa ni wakati wa Kabundi kuwachia ngazi maana anafanya uchochezi
 
!
!
Kabudi Anafahamu Kilichomtokea Azory. Na Ameshakisema.
Sasa Haya Mengine Ni Kumfurahisha Mkuu Tu Kila Mmoja Anakuja Na Maelezo Yake. Ni Huyu Huyu Mwakyembe Alinukuliwa Akisema Kama Mtu Kaondoka Mwenyewe Wamfanyaje
Nae Mwakyembe angehojiwa kwa kiingereza,si ajabu angeenda mule mule kama Kabudi.Kudanganya kwa lugha ya kigeni inaonekana ni vigumu sana,rejea mahojiano ya Mkapa kuhusu mauaji ya Wazanzibari
 
Disappear and died = Kapotea na kashafufa
Disappear or died = Kapotea na ama kashakufa
 
Hawa walimu wa UDSM wana nini?

Hawa ni makuwadi wa Kisiasa, vibaraka wa Magufuli na wahuni ambao wanatakiwa siku moja wasimame mbele ya sheria kujibu mashtaka ya mauaji haya ya kishennxx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…