Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Nae Mwakyembe angehojiwa kwa kiingereza,si ajabu angeenda mule mule kama Kabudi.Kudanganya kwa lugha ya kigeni inaonekana ni vigumu sana,rejea mahojiano ya Mkapa kuhusu mauaji ya Wazanzibari
!
!
Kweli Mkuu. Kiingereza Na Hadhi Ya Chombo Cha Habari Vilimfanya Awe Makini Kupitiliza. Akawa Hawazi Tena Content Anatiririka Tu