Nae Mwakyembe angehojiwa kwa kiingereza,si ajabu angeenda mule mule kama Kabudi.Kudanganya kwa lugha ya kigeni inaonekana ni vigumu sana,rejea mahojiano ya Mkapa kuhusu mauaji ya Wazanzibari
Mimi nilishasema watanzania ni wapumbafu..yaani stupid.. tupo tupo tu.. hatuna kauli thabit dhidi ya tuliowapa madaraka.. yaani tunawaachia wafanye wanavyotaka. Huu ni upumbafu wa kiwango cha juu..tukikaa hivyo iko siku yatatokea kwetu..