Mwakyembe baada ya kukataa Maburungutu ya Pesa. Richmond ilitaka kumwondoa kwa Sumu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya.

Mnakumbuka lengo la kueliminate watu kadhaa akiwepo pia na Mwandosya? Haya mambo watu hamyajui wengi mlikuwa either Mbwinde au Wadogo sana au Viunoni mwa baba zenu.

Haya majamaa ndiyo yanayo engineer mauaji na utekaji na ndo maana huwezi sikia hata siku moja wakikemea.
 

ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).

Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.

Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…