Mwakyembe ingilia kati ahadi za wachezaji wa yanga iwe fundisho kwa wengine kuropoka

Mwakyembe ingilia kati ahadi za wachezaji wa yanga iwe fundisho kwa wengine kuropoka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Iko wazi wachezaji wa Yanga hawajalipwa pesa zao za mechi ya Simba waliohaidiwa.

Mmh mwakyembe tinaomba hili swala ingilia kati owe fundisho kwa wowote wanaoahidi bila kulipwa. Kama mnakumbuka wachezaji wa yanga waliwahi kugoma huko nyuma gsm wakasema wanawalipa wote na kutoa mil 200.

Mnaokumbuka zile pesa zilikuwa zilipe wachezaji gafla uongozi ukoamba ziingizwe kwenye acc wao wanajua cha kufanya. Kama makujua matokeo yaliofwata mtaelewa.

A. Nugaz bila haya anasema kweli wachezaji hawajalipwa shida ni bank. Je, unakumbuka gsm walikuwa walipe cash wachexji nn kimeshindikana mmepeleka bank tena zikafanye mamboo yenu.

Ona mnatesa wana Yanga na matokeoo yenu ya kishenzii

Mh. Mwakyembe kwa hili usiwe kimya kabisa.
 
Kweli mna stress sana wanayanga a.k.a Waganga FC, mnachoonesha kwa sasa ndo kiwango halisia cha timu yenu. Tatizo sio pesa maana timu zinazowagalagaza kiuchumi ni dhaifu kuliko Yanga SC.
 
Watakuwa Simba wamewahujumu ndio maana hamjalipwa tatizo hakutegemea Simba kufungwa na yanga kibao kimegeuka
 
Kweli mna stress sana wanayanga a.k.a waganga fc, mnachoonesha kwa sasa ndo kiwango halisia cha timu yenu. Tatizo sio pesa maana timu zinazowagalagaza kiuchumi ni dhaifu kuliko yanga sc.
Kulipwa stahiki kwa wakati, kutekelezewa ahadi mliyowekeana ni moja ya mambo yanayoweza kumfanya mchezaji awe na morali ndani ya uwanja. Ukifanya kinyume chake ni kwamba unashusha morali ya wachezaji na pia mchezaji anaweza kucheza kwa mgomo. Pesa ndio kila kitu kwa wachezaji kuwapa utulivu wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko wazi wachezaji wa yanga awajalipwa pesa zao za mechi ya simba waliohaidiwa

Mmh mwakyembe tinaomba hili swala ingilia kati owe fundisho kwa wowote wanaoahidi bila kulipwa

Kama mnakumbuka wachezaji wa yanga waliwahi kugoma huko nyuma gsm wakasema wanawalipa wote na kutoa mil 200

Mnaokumbuka zile pesa zilikuwa zilipe wachezaji gafla uongozi ukoamba ziingizwe kwenye acc wao wanajua cha kufnya

Kam makujua matokeo yaliofwata mtaelewa

A.Nigaz bila haya anasema kweli wachezaji awajalipwa shida n bank

Je unakumbuka gsm walikuwa walipe cash wachexji nn kimeshindikana mmepeleka bank tena zikafanye mamboo yenuu

Ona mnatesa wana yanga na matokeoo yenu ya kishenzii

Mmh mwakyembe kwahili usiwe kimyalabisaa
Walioahidi walijua wazi Yanga wanakwenda kufungwa ndio kisa cha kuahidi pesa nyingi. Je pesa ilishaingizwa kwenye hiyo akaunti ya yanga tusema ni shida ya uongozi wa Yanga au GS M walikurupuka
 
Back
Top Bottom