Hata kwa Afrika bado haiwezi kuwa kweliItakua mwandishi amechanganya kati ya Duniani na Africa, Ukisema Africa naweza kukubali ila kwa Duniani hapana aisee
Kupiitia kipindi hewani cha mshereshaji muimbaji mwanamashairi mwanausasa Mrisho mpoto thedon kiitwacho KAA HAPA. Waziri Mwakyembe akakaribishwa kimahjiano.
Katika mahijiano hayo yaliyojaa kuangalia maadili ya nyimbo zeto na music video wanazotoa,akaibua jambo buana lakumpa heko balozi wa wasanii Nassibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz.
Mwakyembe akaeleza kwamba "tuchukulie kijana kama diamond,sauti yake peke yake inatosha kabisa kuuza,ukisema wasanii 10 duniani tuwe wakweli tu!wenye sauti nzuri,diamondi huwezi kumtoa pale"Mwakyembe
Hivi ni sawa kwa takwimu aliyoitoa mwakyembe kwa diamond au ndo kumpapasa kijana etu apoe...
Mi naona mondi ni kama wa laki mbili hivi mpaka kumuona yeye
Tena kumzidi kwa mbaaaaali sana.Hata uandishi sio kwamba anajua,ila nakubaliana na wewe hapo kwenye ujanjaujanja na kiki za hovyohovyo zisizo na adabu1.Alikiba
2.Aslay
3.C.Bella
4. Lavalava
5. TID
6. Ramadee
7. Nurueli
8. Engine
9. Steve RnB
10. Belle 9
Hao jamaa wanaweza kumzidi Chibu kwa sauti nzuri, lkn uandishi na ujanja ujanja wasimpate
mmh na wewe umeanza lini kutumia bangi?Wiz kid anayo sauti nzuri afrika nzima bisha uone.... [emoji23]
mmmmh,watu bana...hivi diamond unazani anakubalika kwa sababu gani? mbona watu mnajifanya wajuaji sana na wakati reality yenyewe inaonesha true color ya diamond!Mwakyembe atakuwa kalishwa sumu tu.....Diamond hana sauti nzuri hata ile ya wastani hana. Sema tu ana nyota ya kupendwa ila hata kimuziki kuna wasanii madogo tu hapa Bongo wanampita sana tena vibaya mno.
kuna tofauti kati ya kuwa na sauti nzuri. na kujua kuimba!1.Alikiba
2.Aslay
3.C.Bella
4. Lavalava
5. TID
6. Ramadee
7. Nurueli
8. Engine
9. Steve RnB
10. Belle 9
Hao jamaa wanaweza kumzidi Chibu kwa sauti nzuri, lkn uandishi na ujanja ujanja wasimpate
1.Alikiba
2.Aslay
3.C.Bella
4. Lavalava
5. TID
6. Ramadee
7. Nurueli
8. Engine
9. Steve RnB
10. Belle 9
Hao jamaa wanaweza kumzidi Chibu kwa sauti nzuri, lkn uandishi na ujanja ujanja wasimpate
Ujanja ujanja tu....ila umewasahau hawa1.Alikiba
2.Aslay
3.C.Bella
4. Lavalava
5. TID
6. Ramadee
7. Nurueli
8. Engine
9. Steve RnB
10. Belle 9
Hao jamaa wanaweza kumzidi Chibu kwa sauti nzuri, lkn uandishi na ujanja ujanja wasimpate