Mwakyembe: Kati ya wasanii 10 duniani wenye sauti nzuri Diamond huwezi mtoa

Mwakyembe: Kati ya wasanii 10 duniani wenye sauti nzuri Diamond huwezi mtoa

Kwani Mwakyembe kaanza kuvuta lini bangi?
 
Ashtakiwe haraka kwa kutoa takwimi ambazo haziko sahihi na mamlaka pekee ndio yenye jukumu la kutoa takwimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Balozi wa wasanii pia...hivi alichaguliwa eeee[emoji1] [emoji1]
 
Diamond hawezi kuwa hata kwenye top 100,000 ya sauti....huu ndio ukweli

Sema mwakyembe kawasikiliza wasanii Hawa tu

1. Nay wa mitego
2. 20 percent
3. Abby skills
4. Mrisho mpoto
5. Inspekta haroun
6. Ali kiba
7. Hemed
8. Hammer q
9. Juma nature
10. Chegge

Sasa ukimtajia Sam milby, John Legend huko hawezi kukuelewa..
Daaa kwa iyo list....lbd ndo mana kamtunuku namba 10
 
Hata kama namkubali sana Diamond katika hili siwezi kusema uongo.

Hapa Tanzania pekee hata top 10 ya waimbaji wenye sauti nzuri hachungulii.
Umemsanua kiaina kulalek
 
Wewe unamuona mondi wa laki mbili lakini sasa hivi ana bilioni ngapi ?
Acha wivu,pambana na hali yako
Kupata pesa sio kwa sababu ya uzuri wa sauti, waweza kupata fedha zaidi kwa inshu nyingine!
 
Nadhani mh. Waziri hapa anachanganya kati ya msanii mwenye sauti nzuri na msanii mwenye mafanikio. Mond ni msanii mwenye mafanikio ila hapo kwenye sauti nzuri labda top ten ya kutoka chini!
Alooooo umetekenya maiti
 
Back
Top Bottom