Ha ha ha... DuuuhAtakuwa Isha Mashauzi bila shaka.
Mh! Lakini subiri, asije akawa ni Kalapina a.k.a nabii Koko.
we jamaa mbona hueleweki?Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.
Mara kadhaa Diamond amekuwa akionana na Mwakyembe, na hata jana Mwakyembe ameulizwa swali la kufungiwa Diamond kasema hawezi kulizungumzia.
Makonda ni mlezi wa WCB. Hivyo Diamond anajivunia watu hao akiamini huyo Shonza hamtishi kwakuwa yeye ana back up ya wakubwa zaidi ya Shonza.
NB: Wasanii tukikaa studi au bar tujadili muziki, tusiwajadili wana muziki na mapungufu yao. Hayo ni majungu
Huyu alikuwa mpanga viti,analipwa 20,000 kwa siku! Kama shoo yote ingefanyika basi angekuwa anadai si zaidi ya shilingi 460,000/= hata mimi ningeweza tu kumlipa!Vipi ushalipwa hela yako ya Fiesta?
Sasa Mbona Hautuambii Kwamba Mwakyembe anampaje Kiburi Hyo Dogo?Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.
Mara kadhaa Diamond amekuwa akionana na Mwakyembe, na hata jana Mwakyembe ameulizwa swali la kufungiwa Diamond kasema hawezi kulizungumzia.
Makonda ni mlezi wa WCB. Hivyo Diamond anajivunia watu hao akiamini huyo Shonza hamtishi kwakuwa yeye ana back up ya wakubwa zaidi ya Shonza.
NB: Wasanii tukikaa studi au bar tujadili muziki, tusiwajadili wana muziki na mapungufu yao. Hayo ni majungu
Hugo dogo hana nidhamu...
Siwapendi clouds lakini inatakiwa azichange karata zake vizuri.
Hawa mapopoma wenzako wameiba sred yakoKama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.