Mwakyembe na Makonda wanampa kiburi Diamond

Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.

Mara kadhaa Diamond amekuwa akionana na Mwakyembe, na hata jana Mwakyembe ameulizwa swali la kufungiwa Diamond kasema hawezi kulizungumzia.

Makonda ni mlezi wa WCB. Hivyo Diamond anajivunia watu hao akiamini huyo Shonza hamtishi kwakuwa yeye ana back up ya wakubwa zaidi ya Shonza.

NB: Wasanii tukikaa studi au bar tujadili muziki, tusiwajadili wana muziki na mapungufu yao. Hayo ni majungu
we jamaa mbona hueleweki?
 
Basata wenyewe hawaeleweki! Wimbo wa Mwanza aliumba na kuucheza Naibu Spika kule Burundi. Basata wanaulizwa hawakutoa majibu ya kueleweka!
 
Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.

Mara kadhaa Diamond amekuwa akionana na Mwakyembe, na hata jana Mwakyembe ameulizwa swali la kufungiwa Diamond kasema hawezi kulizungumzia.

Makonda ni mlezi wa WCB. Hivyo Diamond anajivunia watu hao akiamini huyo Shonza hamtishi kwakuwa yeye ana back up ya wakubwa zaidi ya Shonza.

NB: Wasanii tukikaa studi au bar tujadili muziki, tusiwajadili wana muziki na mapungufu yao. Hayo ni majungu
Sasa Mbona Hautuambii Kwamba Mwakyembe anampaje Kiburi Hyo Dogo?
 
Hugo dogo hana nidhamu...
Siwapendi clouds lakini inatakiwa azichange karata zake vizuri.

Wanamdekeza sana huyo fala aka Dayamondi. Yeye si lolote nchi hii sema ana take advantage ya kuwa katika kizazi cha nyoka!!! Kuna wajinga wengi zaidi hivi sasa kuliko before miaka ya 80
 
Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.

Mara kadhaa Diamond amekuwa akionana na Mwakyembe, na hata jana Mwakyembe ameulizwa swali la kufungiwa Diamond kasema hawezi kulizungumzia.

Makonda ni mlezi wa WCB. Hivyo Diamond anajivunia watu hao akiamini huyo Shonza hamtishi kwakuwa yeye ana back up ya wakubwa zaidi ya Shonza.

NB: Wasanii tukikaa studi au bar tujadili muziki, tusiwajadili wana muziki na mapungufu yao. Hayo ni majungu
Hawa mapopoma wenzako wameiba sred yako
Screenshot_20181224-085017.png
 
Back
Top Bottom