Mwakyembe: Wanachama wa vilabu vya michezo kumiliki 51% ya hisa na wawekezaji 49%!

Hawa hawana ajenda, wamebaki kurukia tu issues. Watafakari kuboronga kwa timu ya taifa na kili stars mambo ya business developments za vilabu siyo priority issue kwa sasa.
Mbona Tz nzima kwenye mikataba tunamiliki hisa kuanzia 5%-16% basi kwa nini wasianzie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…