Simple F
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 1,293
- 1,767
Mbona Tz nzima kwenye mikataba tunamiliki hisa kuanzia 5%-16% basi kwa nini wasianzie hukoHawa hawana ajenda, wamebaki kurukia tu issues. Watafakari kuboronga kwa timu ya taifa na kili stars mambo ya business developments za vilabu siyo priority issue kwa sasa.