Endeleeni kumzonga mke wa watu,yatakayo wakuta bishanga simo.
Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani!
angalia nilichokugongea mkuu.
Jamani, jamani zomba, ndio nini hivo sasa?
Picha yangu ya chumbani umeweka sebuleni
Bora hata ungeleta zile imevaa kijani (CCM)
Hapa naona zangu aibu, ngoja nipotee mie...
Una dalili zote za uchawi kwa hayo maneno yako tu.