Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

Kwani lazima kwenda? Pika kwako ka biriani kako na soda ya peps baridiiii...
 
Kuna waislamu na wachilamu, hawa wamejaa chuki na kwa wasio waislamu kila kitu kwao ni udini ndio wanatanguliza.

Note nilichandika waislamu wanaoijuwa vizuri dini yao ni wakarimu sana.

Leo Markaz wanagawa nyama nenda uone wale waislamu kanzu wanachukuwa viroba vya nyama kwenda kuuza.
Umenichekesha sana mkuu
 
Mdakuzi karibu Eid, mi nitakuacha ujipakulie mwenyewe usijali b…
Asante b... nitakaribia. Inakuwa Eid al Adha ya kipekee kwangu kula kando ya mrembo haswa, ambaye ndiye mpishi wa huo mlo wa sikukuu.

Ova
 
Back
Top Bottom