Mwaliko toka kwa miss chitchat

Last edited by a moderator:
Hivyo ndivyo haki inavyo patikana!
Yani kitendo cha kusema utatekeleza ahadi zako kesho, hiyo pia ni ahadi.

Nasubiri hiyo kesho kwa hamu!
Wapi nimetoa ahadi? Evidence kila kona....! Hata ukifumaniwa utataka ushahidi...loooh
 
Wangu si kweli kabisa maana kule siasani ni stress tupu huwezi kuongea mahaba kule.
Mwambie alete ushahidi ili aeleweke!
Wangu nasikia una Mwanamke kule Siasani.
Naomba umwambie ajisalimishe mara moja.
 

Washindi wa kuchakachua huwa wanapopolewa mawe...
Ohoooo!
 
Remmy mi ndo ntaingia Dar leo ila kwenye huo mwaliko ntakuja na mke wangu Amyner km huniruhusu nambie mapema coz sitaki ugomvi kati yenu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wee nenda tu kwingine.
Wivu utaniua.

Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo
 

umenisahau madame.
 
Last edited by a moderator:
Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo

Hahaaaaaaa.......!
Sizitaki mbichi hizi?
Saa ngapi utaingia dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…