Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimetoa ahadi? Evidence kila kona....! Hata ukifumaniwa utataka ushahidi...loooh
Simple evidence would support your words!
Wangu nasikia una Mwanamke kule Siasani.
Naomba umwambie ajisalimishe mara moja.
Wapenzi wanachitchat, salamu katika bwana!
Yule miss wenu wa mwezi septemba ndio anakamilisha muda wake, hivi karibuni atakabidhi taji kwa mwingine Kama sio Madame B.
Ikumbukwe kuwa wakati anaomba ushindi alitoa ahadi zake, hivyo basi ameona vyema asiwe Kama magamba wa kutoa ahadi hewa....anawaalika kesho mishale ya saa Tisa alasiri ili atimize zile ahadi zake. Kwa wale wote wa dar mnakaribishwa sana, utakuwa muda muafaka pia wa kukutana na kufahamiana.
With love
Miss chitchat septemba.
Asante sana Dena Amsi!
Mambo! Kitambo sijakuona.
Wee nenda tu kwingine.
Wivu utaniua.
Asante sana Miss unaemaliza muda wako Miss CC Remmy.
Pia napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwa na moyo wa kuisaidia jamii ya Uamsho wa CC.
Nami naahidi endapo nitashinda hilo Taji la Miss CC October nitatimiza ahadi zangu zote nilizoahidi kwa Wake na kwa Waume.
Nikianza na Wanaume niliahidi kuwatafutia Wachumba kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Na Wanawake niliahidi kuwashonea Suti za Kanga Kavu na lemba lake.
Sasa ili kutimiza ahadi yangu naomba nianze na Wanaume.
Naomba tukutane pale viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa Muhubiri C. Mwakasege kwani kuna Hilo somo la Kupata Mke mwema.
Na wanawake tukutane pale Mariedo Boutique Posta ya Zamani ili mje kuchukua Suti zenu.
Asanteni kwa kunisikiliza na pia nawatakia Uchaguzi mwema wa mchakato wa kumtafuta Miss ChitChat October hapa JF.
Chini ya usimamizi wa Anko Fataki Ruhazwe JR na kundi la Masharobaro wa CC likiongozwa na Msiri wangu St. Paka Mweusi na figganigga wangu
Na Masister duu wa Ukwenhe wakiongozwa na mdogo wangu Kipenzi beibe nasty.
Na Mabrother duu wa ukwenhe wakiongozwa na Aliekuwa mwanafunzi wangu Kaizer.
Na Wamama duu wa Ukwenhe wakiongozwa na Aliyewahi kuwa Mama Mkwe wangu Mamndenyi.
Madaktari akina MziziMkavu, Mapadri akina Saint Ivuga,
Washauri akina Mtambuzi,
Wanywaji akina Asprin,
Mashosti akina charminglady,
Watoa stress akina Kimbweka na Watoa 'Kifimbo cheza' akina Mamods (hapa sitomtaja mtu kwani wote wanahusika ktk kulisongesha Gurudumu) na Active.
TUKO PAMOKO Kama Koki na Bomba au Kama Ua na Nyuki.
Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo