Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo
Hahaaaaaaaaaaaaa!
Unataka evidence?
Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo
umeufanya moyo wangu uruke kichurachura. Ooooh yeah.
Nadhani umechoka kuishi!
Hahhahahahahahaha
umeufanya moyo wangu uruke kichurachura. Ooooh yeah.
:amen::amen::amen::amen: