Mwaliko toka kwa miss chitchat

Hahaaaaa......ili mtujue nyie mliogoma....thubutuuuuuuu.....ni ya mlimani city.

Nakuona unaanza kujigonga kwa wa Ubani wangu ruttashobolwa,nina stress sana.
Naomba umalize muda wako wa kukaa na taji kwa amani na unikabidhi hilo taji kwa Amani.
Na ukae mbali nae.
Sihitaji tugawane majengo ya serikali yetu.
 
Last edited by a moderator:

Na ulitakalo liwe.
Si unajua tena pilikapilika wangu?
Usihofu utanikuta tu Kipenzi chako.
Japo Uko mbali nami muda mrefu.
Miss yaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikuelewi mzizimkavu!

 
Last edited by a moderator:
Nakuona unaanza kujigonga kwa wa Ubani wangu ruttashobolwa,nina stress sana.
Naomba umalize muda wako wakukaa na taji kwa amani na unikabidhi hilo taji kwa Amani.
Na ukae mbali nae.
Sihitaji tugawane majengo ya serikali yetu.


Mie tena? akhaaaa......niliyenaye kaujaza moyo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nilipotaka nishangae.
Haya Twende ukanielekeze kutembea 'Cat Walk'

Haya mazoezi tutafanyia ubungo plaza,Wema naye ameniahidi atakuwepo kwa kutoa somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…