bibi weeee hebu acha umwali kigego unataka tuitwe misungo siye wakti ni mafundi tulotukuka kwenye hii fani
mwali mwalikwa bibi weee!hebu chuntama huko nakuitia farkhina aje akutie piko halafua aje kabisa na kashata za kungu
leo huyu nimemfungia hatoki kwa heri ala kwa shari unataka aitwe jina baya? ataitwa mwali gego bure......My dia madame b,kadi za send off ulizonipa 40 za ndugu zangu tayari nimezipata ,ila nimeambiwa leo hutoki ndani,,nimempa huyu dada laki 4 kwa ajili ya mabrighter
na uji wa kungu sijui nani atampikia huyu hebu kungwi mpe mtu kazi hii haraka muda unaenda atiii.
My dia madame b,kadi za send off ulizonipa 40 za ndugu zangu tayari nimezipata ,ila nimeambiwa leo hutoki ndani,,nimempa huyu dada laki 4 kwa ajili ya mabrighter
chezeya makungwi yakikutana weye............lazima hapa mtu adate kama L.B KWA DOROTHYmi nafikiri Kaunga hapa inabidi ahusike,tena ufanye kumpigia simu aufanye mwepesi kidogo bila kusahau wakati wa kunywa mwali mwalikwa wetu anuize kabisa huku akitupia punje za tende na aumiminie asali !ili aonjwappp awe ladha ya wa asali ya nyuki wadogo!
halula!
hivi gfsonwin enzi zetu mtu akikiuka maagizo ya makungwi tulikuwa tunafanywaje?
hebu nikumbushe manake naona hapa tunaweza kuaibika muda si mrefu hapa
chezeya makungwi yakikutana weye............lazima hapa mtu adate kama L.B KWA DOROTHY
umesahau tulikuwa tunafinywa kutumia jivu kwa bibi hadi zivu walikuwa wanaondoka nazo? je umesahu tulivyokuwa tunatandikwa mkoleni? ila best mateso yale over my dead body mwanangu simpeleki
pana chezeya sisi!
tukishamaliza unyago wa kibantu,na kipwani tunahamia wa kiajemi!kisha twampa wa kihispaniola mbona huyo shemegi atajing'ataaa!:tongue::tongue:
msiri wangu upo weye?? nimeamka naumwa kichwa balaa, jana nilipata ugeni tena unakuhusu, nicheck PM basi.weye ndo kazi yako hiyo manake nakujua vyema msiri wangu
yaani mie nitamfunda mwenyewe chumban acha kabisa, ni bora umemkwepesha hayo aiseee ile ni zaid ya jeshi.ahahahahhahhahaha usinochekeshe !yani hata mi staki kusikia siku binti yangu alipovuja ungo bibi zake yani mama zangu wadogo walivosikia nakwambia shurti wanataka nimpeleke mkoa,nikawaambia babake hataki ila ukweli nilikuwa sitaki tu zile habari ah!