hapa unamfunda kiaina zote ashindwe yeye kuutumia tu, akitoka hapo lazima awe mkwe wetu atembee na bastola lol!
ngoja kwanza wakina mama
wataamua tenda wampe nani lol! unataka kutunyima uhuru wa kuachia nyonga
wewe nshakusoma
yaani mie nitamfunda mwenyewe chumban acha kabisa, ni bora umemkwepesha hayo aiseee ile ni zaid ya jeshi.
ahahaaaa umenikumbusha shogangu mmoja aliwekwa ndani akatoka eti alishazoea mguu barabaraniKungwi bibi harusi nina hamu ya kutoka nje,
naruhusiwa?
bila kusahau kitezo mara moja moja kinahusika ati!pia na kawa na kipepeo atii lazima viletwe.
bila kusahau kitezo mara moja moja kinahusika ati!
mimi naomba tenda ya kuchukua video
chtezo lazima na uvumba wake. atiiii huyu anatakiwa tukimpiga moja wiki nzima ananukia tu bila hata kurudia. udi wa muscatt ndo mzuri ngoja niagze kabisa kwa mama salma manake wamekwenda kuhiji atuletee hiyo kesho.
Wakikupa tenda hakikisha unatafuta ile camera latest inaitwa "pregnant"
mi nitaomba kukushikia taa, tena taa nzuri tutumie zile zinaitwa "hatulali njaa"
dada mkubwa mi nakwambia nahisi nimehamishwa kitengo sijui!manake nahisi madame gfsonwin kanifanyia reshafo!jamani sasa nyie akina mlongo wangu snowhite, rafiki yangu cacico, na my lovely wii sweetlady si tulikubaliana tukutane muda huu? mi nawasubiri hapa tulipokubaliana mbona sioni hata mmoja? mnajua gfsonwin atatu-mind sana tukichelewa kununua zawadi na kusababisha kuchelewa kumfunda mwali.
fanyeni basi tuondoke