mwaliko ya kitchen party kumfunda mwali wetu madame B.

Hvi kumbe hata vikongwe huwa wanafanyiwa vitchen party? Jamani mi najua kuwa Madame B ana miaka 70+. Imekaaje hyo? Hayo ni matumiz mabaya ya hyo shughuli
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona wanipa rahaaaaaaaaaaaaaaaaa yani huu ni utamu haswaaaaaaaaaaaaa
 
pana chezeya sisi!
tukishamaliza unyago wa kibantu,na kipwani tunahamia wa kiajemi!kisha twampa wa kihispaniola mbona huyo shemegi atajing'ataaa!:tongue::tongue:

Ajing'ate mara ngapi kashaonjeshwa anauguza jeraha Ruttashobolwa baada ya harusi utajiunga kwenye threesome hiyo katiba ya chit chati inalonga hivyo ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…