Mshamfunda akafundika?
Kwetu uhayani kuna 'vifaa' maalum bi harusi ( omugole) huwa anapewa na mama zake vimfae katika ndoa,vyote vinahusiana na usafi wa mmewe baada ya ,shughuli',je makungwi mmempa?
KUDADAKE! Nimeingiamo nimefaudu sana hata ingawa kwa macho. Now ngoja nivue nguo za kike nitinge viwalo vyangu na hizi picha za moving na mnato ntasafisha kesho. werawera! Eti wanaume hawaruhusiwi..... imekula kwenu ila dah gfsonwin mkare.
Madame b ni gwiji....sasa tunamfunda wa nini
Madame b ni gwiji....sasa tunamfunda wa nini