Babarazack
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 132
- 156
Naunga mkono hoja weken japo audio yakeMwenye ka audio ka huyu babu akatupie asee! Yaani jamaa utafikiri ni Newton na mihesabu yake ya kifizikia...
Lkn yeye c professional kweli au hizi ni kiki?Tartiiibu anachukua nafasi ya Dr Shika...
si unajua bongo matukio
Yaan ck akipata dharura kashikie yaan hakutokua na tofaut kbxWas kwetu huyu tunaenda naye sawa
Kaka mjini akili kumkichwaYule mzee mhuni mhuni sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mpira na macaluculation kibao, ila anafurahisha kumdikikiza. Mungu ampe uhai mrefu tuendelee kuenjoy uchambuzi wake.
Zipo juu hapoNaunga mkono hoja weken japo audio yake
Yaan ck akipata dharura kashikie yaan hakutokua na tofaut kbx
Ndo maana yuko vzrMwl. Kashasha alikuwa mkufunzi wa michezo chuo cha ualimu vikindu kwa sasa amestaafu.
Nadhan kasoma course ya football in physicsA man in the space, a ball in the space, a ball in the net......kwako Enock
Asante mkuuMlisikilize ktk clip labda utapata ABC yakeView attachment 905859
Mkuu ulirekodi sehem nini maana haya maneno nilimsikia live ile sikuMzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Haaa haaa siku gani mkuu nilirekodi kwenye memory ya kichwaMkuu ulirekodi sehem nini maana haya maneno nilimsikia live ile siku
Inawezekana kasomea na pia labda alikua mwalimu wa Physical Education kama alivyokua marehemu Syllerside Mzirai lakini lazima tukubali kua zaidi ya darasa mwalimu Kashasha ana kipaji cha kuzaliwa cha kuzungumza entertainingly kuhusu michezo hasa soka na wasikilizaji wake wakaburudikaNadhan kasoma course ya football in physics
Inawezekana kasomea na pia labda alikua mwalimu wa Physical Education kama alivyokua marehemu Syllerside Mzirai lakini lazima tukubali kua zaidi ya darasa mwalimu Kashasha ana kipaji cha kuzaliwa cha kuzungumza entertainingly kuhusu michezo hasa soka na wasikilizaji wake wakaburudika
Lazima mli enjoy sana mkuu, tena yaelekea yupo social sana na ana passion hasa ya michezoKwa tuliopitia ktk mikono yake kimalezi kwa kiasi tulienjoy
Hahaha sikumbuki ilikuwa mech gani ila maneno hayo ndo aloyatamkaHaaa haaa siku gani mkuu nilirekodi kwenye memory ya kichwa
Lazima mli enjoy sana mkuu, tena yaelekea yupo social sana na ana passion hasa ya michezo