Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Mkuu ulirekodi sehem nini maana haya maneno nilimsikia live ile siku
 
Nadhan kasoma course ya football in physics
Inawezekana kasomea na pia labda alikua mwalimu wa Physical Education kama alivyokua marehemu Syllerside Mzirai lakini lazima tukubali kua zaidi ya darasa mwalimu Kashasha ana kipaji cha kuzaliwa cha kuzungumza entertainingly kuhusu michezo hasa soka na wasikilizaji wake wakaburudika
 
Kwa tuliopitia ktk mikono yake kimalezi kwa kiasi tulienjoy

Back
Top Bottom