Daah ni noma kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Mwaka 2005 alikuwa ni Mwalimu wa shule ya pale ilala kuna shule mbili pacha kama kumbukumbuku yangu ni nzuri moja inaitwa kigoma. Ama la..!Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
Tartiiibu anachukua nafasi ya Dr Shika...
si unajua bongo matukio
Hilo ni lile goli la Ajibuππππ Mwl anatupa raha sana akichambua mpira."ukiwa deep unaita 'airborne back pedal bicycle kick'''
Hahaha sikumbuki ilikuwa mech gani ila maneno hayo ndo aloyatamka
Hahahaaa, safi sana mku mkuu....Mwl Kashasha ni mtu wa watu kweliSana hana makuu na ukiwa nae andaa Mbavu aisee
Hahahaha, nijua anamtaja Dr RickSiyo kila post lazima kuchangia, mfano ni hii hapa.
Totally irrelevant, sidhani kama unajua kinachojadiliwa hapa.
Hapa nimeunga unga mkuu hayakutamkwa kwenye game moja
Asante mwalimu kashasha.... mpambano huu unaletwa kwenu kwa udhamini wa rungu max gudigudi, wembe bora kabisa kwa kunyolea nywele za kila maeneoππππA man in the space, a ball in the space, a ball in the net......kwako Enock
hahaha ndiyo hilo mkuuuHilo ni lile goli la Ajibuππππ Mwl anatupa raha sana akichambua mpira.
ππππ ukimsikiliza huyu mzee unaweza dhani wachezaji uwanjani wanacheza na calculator, ruler, kipima pembe, kipima maji, timanzi, penseli nakadhalika nakadhalika.Kaka mjini akili kumkichwa
halafu hawataji maeneo yote ambayo yanaweza kunyolewa na wembe huo zaidi ya nywele za kichwaniπππAsante mwalimu kashasha.... mpambano huu unaletwa kwenu kwa udhamini wa rungu max gudigudi, wembe bora kabisa kwa kunyolea nywele za kila maeneoππππ
Hawa watu wanafanya nipende kusikiliza mpira bila kupenda aseeeHahahahaaa
halafu hawataji maeneo yote ambayo yanaweza kunyolewa na wembe huo zaidi ya nywele za kichwaniπππ
Mpira wa kusikiliza akiwepo mchambuzi Mwl. Kashasha unakua mtamu kuliko wa kuangalia luninganiHawa watu wanafanya nipende kusikiliza mpira bila kupenda aseee
Kweli kabisa mkuuππMpira wa kusikiliza akiwepo mchambuzi Mwl. Kashasha unakua mtamu kuliko wa kuangalia luningani
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukimsikiliza huyu mzee unaweza dhani wachezaji uwanjani wanacheza na calculator, ruler, kipima pembe, kipima maji, timanzi, penseli nakadhalika nakadhalika.
Kuna vipaji vingi havijagundulika mtaani!Ni fundi Sana na pia najiuliza ckzote alikua wap,
Toa up.uuzi wako hapa kila mtu anachangia kile anachoona kina faa...don't tell what I can or I can't do stupid...alafu potea hakuna mtu amekuleta hapa mbwisye wwSiyo kila post lazima kuchangia, mfano ni hii hapa.
Totally irrelevant, sidhani kama unajua kinachojadiliwa hapa.
Basi kumbe ndo maana anapendwa. Mbwembwe na fiksi ndo vitu wabongo vinawapagawisha.Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse