Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
Mwaka 2005 alikuwa ni Mwalimu wa shule ya pale ilala kuna shule mbili pacha kama kumbukumbuku yangu ni nzuri moja inaitwa kigoma. Ama la..!
Ni mcheshi mchangamfu na bila shaka ni rafiki wa wengi kwa kuhusu CV yake natumai aweza iweka hapa mwenyewe.
 
Siyo kila post lazima kuchangia, mfano ni hii hapa.

Totally irrelevant, sidhani kama unajua kinachojadiliwa hapa.
Toa up.uuzi wako hapa kila mtu anachangia kile anachoona kina faa...don't tell what I can or I can't do stupid...alafu potea hakuna mtu amekuleta hapa mbwisye ww
 
Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Basi kumbe ndo maana anapendwa. Mbwembwe na fiksi ndo vitu wabongo vinawapagawisha.
 
Back
Top Bottom