Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukubali jinga laoYa kwako pia imenipendeza na imenifanya niaangalie mara mbili mbili
Bas anamate mengEmbu fatilia yaani ana meno yoteee
Ha ha ha ha...!Ile aliyopiga john boko adebayor inaitwa grass cut blockbuster, kwako kamalada bwigane
TobaaaaWe msemaji wa familia yake
There you're...!Mwl. Kashasha alikuwa mkufunzi wa michezo chuo cha ualimu vikindu kwa sasa amestaafu.
Maana naona kajitokeza kuckojulikana na kumjibia DrTobaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse