Kwa kukushauri tu, nenda pale Alliance Française. Utaweza kujifunza na kuelewa kwa haraka kama uko serious. Mie sijasoma hapo lakini kuna jamaa yangu ambae alisoma pale na kwa sasa anaongea vizuri. Ila kama ndo unaanza kabisa, ndani ya miezi sita utakuwa unaongea vizuri ila kama unafanya mazoezi.
Je te souhaite une bonne chance.