mwalim wa Kifaransa.

mwalim wa Kifaransa.

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
nahitaji mwalim wa kunifundisha lugha ya Kifaransa muda wa jion kwa aliyeko Dar es Salaam. awe na programme ya mi kuelewa haraka, kusoma/kuandika na kuongea. Najua Kiingereza vizuri cha kusomea.
 
Kwa kukushauri tu, nenda pale Alliance Française. Utaweza kujifunza na kuelewa kwa haraka kama uko serious. Mie sijasoma hapo lakini kuna jamaa yangu ambae alisoma pale na kwa sasa anaongea vizuri. Ila kama ndo unaanza kabisa, ndani ya miezi sita utakuwa unaongea vizuri ila kama unafanya mazoezi.

Je te souhaite une bonne chance.
 
Back
Top Bottom