Mwalimu adaiwa kumpasua jicho mwanafunzi

Mwalimu adaiwa kumpasua jicho mwanafunzi

Walimu kwa kweli Dunia inawakataa. Walimu fundisheni masuala ya nidhamu waachieni wazazi. Pia mzazi akimpeleka shuleni kwa masuala ya kinidhamu mwalimu mwambie mzazi ninyi hamtoi adhabu, adhabu aitoe mwenyewe akiwa nyumbani kwake.
 
Hizi habari za walimu kuumiza wanafunzi zimezidi sasa kuna nini waalimu au ndio mmeshindwa kudai mishahara mikubwa?!
Sio zimezidi ndo uhalisia huo Sasa hivi zinatoka kwa kuna smartfoni
We hujapigwa shuleni?au hujawahi ona mtu kaumizwa na walimu
 
Kuna baadhi ya walimu katika shule nyingi wanavuta BANGI!!!
matokeo yake matendo wanayo wafanyia wanafunzi ni ya kibqngi bangi.

Waajiri pimeni maadili ya walimu kabla ya kuwaajiri,
Wana stress za maisha, siyo kuvuta bangi, wavuta bangi huwa ni watu focused na mambo yao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
“Tulishamalizana na mwalimu, tukio limetokea kwa bahati mbaya. Nipo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) (ilikuwa jana (juzi) asubuhi) chumba cha upasuaji siruhusiwi kuongea na simu,” alisema.
PCCB
 
Kuna baadhi ya walimu katika shule nyingi wanavuta BANGI!!!
matokeo yake matendo wanayo wafanyia wanafunzi ni ya kibqngi bangi.

Waajiri pimeni maadili ya walimu kabla ya kuwaajiri,
Hahaha walimu kutoka kua kada inayoheshimika enzi hizo hadi kua wavuta bange😁😁 hapa adui ujinga ameshakua best friend wetu, tatizo amekuja kurithiwa na adui nyege
 
Wana stress za maisha, siyo kuvuta bangi, wavuta bangi huwa ni watu focused na mambo yao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukiona Mwlm ana matendo ya ajabu ajabu kama tunayo yashuhudia jua kuwa huyo Mwlm ni mvuta bangi.

Wapo wengi tu tunawafahamu, wanachoma bangi kabla ya kuingia darasani.

Unakuta Mwlm kajichora mitatuu mikononi!!! hiyo tu ni dalili tosha kuwa huyo Mwlm ni mtumiaji wa dawa za kulevya.

Nashauri mamlaka iweke utaratibu wa kuwapima walimu kama wametumia dawa za kulevya haswa bangi kila mara.
 
Umeandika upuuzi mtupu, halafu unaonekana una tabia ya kununa na kususa susa sana.
Walimu wasiangaike pia sana na mitoto ya watu kiasi cha kuhatarisha maisha yao kisa mtoto wa mtu...

Kazi wanayoifanya ni kubwa ila hawathaminiki so wawashike watoto walio tayari kusaidika tu watoto wengine hao pasua kichwa wawape suspension na uhamisho wa lazima.....wakizidi mipaka fukuza shule
 
Back
Top Bottom