Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana tunataka walimu kama hao....
Ningekua ndo mimi mwalimu ningeondoa meno yote hayo dadek
Huyo mwalimu alipo fundisha wanafunzi wakapata A na kufahulu vizuri, uliwahi kuja kupost huku kumpongeza?Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Hata wewe mtoa mada inabidi upigwe ngumi au upigwe kabali, sio kwa uandishi huu.Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Ni bora kufukuzwa shule kuliko kuruhusu dharau za namna hiyo ...unamwashaje mwalimu anakupiga mangumi kama fara.kuna mipaka mimi hata mzazi wangu awezi kuniletea huo upuuzi nikamwacha. Kumwacha mtu wa hivyo ni kutokumtendea haki na kuto kumfunza.Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Hizi kesi mtazishuhudia sana na walimu wengine ndo hao wapo mbioni sasa hivi Ajira portal accounts ziko active sana. Walimu sasa hivi hawana weledi na hii inatokana na wengi wao kuona kama walilazimishwa kuwa walimu.Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Sawa Mwalimu tumekuelewa. Ila kwani adhabu ni viboko pekee?.. Kuna kudeki vyoo, kufyeka, kudeki darasa n.k.. Kwanini iwe fimbo tu?Ila wakuu hawa watoto wetu tuwaangalie sana, wakati mwingine walimu nao ni binadamu wanakosea kama wengine ila ukifatilia kwa ukaribu hiki kizazi kipya (genz) hakina adabu hata ya kuigiza ni washenzi balaa sasa wakikutana na mwalimu ana mkopo Nmb
,ana mkopo kausha damu ana mkopo Pesa x na kapisha muda wa malipo na washaanza kumtangaza,
Alafu mkewe ana gubu hapo nyumbani wallah watoto meno lazima yang'oke kama magunzi na mahindi