Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati

Et kisha kapata alama 29 za hesanato๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaweza Kuta hajalipwa mshahara miezi miwili kwann asiwe na hasira za kung'oa watoto meno.
 
Mwl mwenzangu wa hesabu kazi unayo

Jamani hesabu ni za wateule

Shida walimu wa sasa tunalazimisha

Kama hatujamsoma Piaget's, Montessori,James Bruno n.k

Mimi binasfi sidil na mtoto anaepata hea au chini ya 40,huyo sio wangu huyo

Ataepata 50 and above huyo ndo nnae tena sio yeye mzazi na yeye Mwenyewe ndo napofaulu hapo

Tuko shule ya kata ila tunapata A za Math's
 
Huyo mtoto kama ni mchaga sio mboya ukoo unaitwa mboro na inavyoonyesha kasha Anza kula kitu ya Arusha
 
Mwalimu apewe maua yake.

Mi ningekuwa ticha kwa mitoto ya uswazi ninge ng'oa meno darasa zima dadeki
 
Gen Z ya bongo imepoa sana. Huyu ilibidi ashumbuliwe kama nyuki.
 
Huyo mwalimu alipo fundisha wanafunzi wakapata A na kufahulu vizuri, uliwahi kuja kupost huku kumpongeza?
 
Walimu na nyie,kizazi cha sasa hiki ukitaka kukipelekesha utazeeka mapema kwani kimeshakata "ring"
 
Huyo mwalimu kama sio bondia, basi anamsongo majnun...๐Ÿคจ
 
Hata wewe mtoa mada inabidi upigwe ngumi au upigwe kabali, sio kwa uandishi huu.
 
Ni bora kufukuzwa shule kuliko kuruhusu dharau za namna hiyo ...unamwashaje mwalimu anakupiga mangumi kama fara.kuna mipaka mimi hata mzazi wangu awezi kuniletea huo upuuzi nikamwacha. Kumwacha mtu wa hivyo ni kutokumtendea haki na kuto kumfunza.
 
Ila wakuu hawa watoto wetu tuwaangalie sana, wakati mwingine walimu nao ni binadamu wanakosea kama wengine ila ukifatilia kwa ukaribu hiki kizazi kipya (genz) hakina adabu hata ya kuigiza ni washenzi balaa sasa wakikutana na mwalimu ana mkopo Nmb
,ana mkopo kausha damu ana mkopo Pesa x na kapisha muda wa malipo na washaanza kumtangaza,
Alafu mkewe ana gubu hapo nyumbani wallah watoto meno lazima yang'oke kama magunzi na mahindi
 
Hizi kesi mtazishuhudia sana na walimu wengine ndo hao wapo mbioni sasa hivi Ajira portal accounts ziko active sana. Walimu sasa hivi hawana weledi na hii inatokana na wengi wao kuona kama walilazimishwa kuwa walimu.
 
Kamsababishia ulemavu,amlipe fidia kwa meno mawili along'oa
 
Sawa Mwalimu tumekuelewa. Ila kwani adhabu ni viboko pekee?.. Kuna kudeki vyoo, kufyeka, kudeki darasa n.k.. Kwanini iwe fimbo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ