Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

Dunia ya leo kuna watu bado wanarogana sababu ya mapenzi.

Kama wanajua kweli kuroga kwanini wasiroge wawe matajiri.
 
Lindi nako kunatisha baada ya mwaka wa kwanza wa magufuli bei ya korosho kutia fora kwa kufika 4000 kwa kilo watu wengi walirudi mijini na kuja huku vijijini kudai mashamba ya urithi ambayo waliyatelekeza hatimae ongezeko la machizi lilikua kwa kasi mno
Hahaha. Ndo wale babu yake adriz walikuwa wananywesha mbusii soda
 
Ndiyo maana nikasema huyo mwanamke angeweza kumlimit/kumpumbaza mumewe ili anuwaze yeye tu badala ya kumuharibu binti wa watu.
Inategemea tu,mpaka anefikia hatua ya kumfanyia hivi mwenzie inawezekana walijibishana na huyo mchepuko akawa anamjibu vibaya akaona ngoja nimkomeshe
 
Inategemea tu,mpaka anefikia hatua ya kumfanyia hivi mwenzie inawezekana walijibishana na huyo mchepuko akawa anamjibu vibaya akaona ngoja nimkomeshe
Kama umenielewa ndicho nilichoandika.
 
Nilimsikia wife akisema Joy mdogo wake akitembea na Mimi hatanilaumu Mimi bali atamshumghulikia joy mdogo wake.
Aliongeza kusema kuwa mwanaume anamkula yeyote anayepita mbele zake. Mwenye uwezo wa kukataa ni mwanamke na si mwanaume.
That's why huyo binti angeweza kukataa awali alipotongozwa au kumwacha mwanaume wa mtu kwa urahisi pindi alipopewa onyo kuliko huyo mume wake kumuacha huyo binti.
 
Umeandika vyema ila sasa swali linakuja hapa;

Ikiwa Me' anamkula yeyote anayepita mbele yake je, atawashugulikia wakina Joy wangapi?
 
Umeandika vyema ila sasa swali linakuja hapa;

Ikiwa Me' anamkula yeyote anayepita mbele yake je, atawashugulikia wakina Joy wangapi?
Hapo sasa kinachowauma wanawake ni waume zao kutoka na wanawake anaowafahamu hasa ndugu au marafiki zake wa karibu.
Yaani ukitoka na ndugu yake au rafiki au jirani yake lazima pachimbike
 
Ubhukile msani wa JF.

Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini.

Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika pale mlandizi - Pwani ikabidi jamaa asimame tupate mlo wa usiku.

Wakati nakaa nikasikia sauti ya kike "mwalimu umekuja, ninunulie chakula au naomba hela..."

Sikushituka sababu siyo mwalimu, ila nikageuka kumuangalia ni nani nikamuona mwanadada kasimama nyuma yangu alikuwa mwanamke mmoja mrefu hivi, mrefu kashika fimbo ananiangalia.

Sikumjibu chochote hadi akaondoka pale nilipokuwa nimekaa, ndipo nikamuuliza mama muuza chakula vipi huyu dada mbona mzuri na ana hali hii?, na haya ndiyo majibu yake.

"... Huyu mwalimu alikuwa anafundisha shule (x) hali aliyonayo ni kwa sababu alikuwa anatembea na mume wa mtu, hivyo mwenye mume kamuonya mara kadhaa aachane na mume wake akawa hasikii ndipo mwenye mume (mwanamke) akaenda kwa wataalam wakamshugulikia kwa kumuharibu akili na ndiyo unavyomuona"

Ukweli kwa mdau uliye JF unaishi maeneo ya mlandizi basi utakuwa umemfaham au kumuona huyo mwalimu, hakika ni mzuri kiumbo nadhani hata sura, ilikuwa usiku so nisingeweza kupata picha.

Ila in vision unaweza kupiga picha wale wanawake wa kinyarwanda walivyo ndivyo na huyo alivyo.

Swali na Jibu ni kwa nini huyo ke' aliyemfanya hivyo mwenzake asimzuie mumewe kwa kumfunga na hayo madawa badala yake amemuacha mumewe ambaye ni sababu na anaweza kutafuta ke' mwingine huku kamharibu mwenzake?.

Nawasilisha.
maisha yenyewe haya yalivyo mafupi unamfanya mwenzio kichaa
 
Back
Top Bottom