The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya katika kliniki ya Samia mkoani Morogoro akiwa mgeni rasmi aliwapatia walimu wa baadhi ya wilaya kuzungumza changamoto zao ambapo moja ya walimu hao alieleza juu ya kunyimwa stahiki zake kwa makusudi na Afisa elimu huku afisa elimu naye akapewa nafasi ya kujibu tuhuma hizo.