Mwalimu: Afisa elimu wa wilaya ya Ulanga alininyima pesa yangu ya uhamisho

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya katika kliniki ya Samia mkoani Morogoro akiwa mgeni rasmi aliwapatia walimu wa baadhi ya wilaya kuzungumza changamoto zao ambapo moja ya walimu hao alieleza juu ya kunyimwa stahiki zake kwa makusudi na Afisa elimu huku afisa elimu naye akapewa nafasi ya kujibu tuhuma hizo.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…