Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ticha hakuwa na kifua. RIP mwalimu 🙏🏿
Changamotoooo!
Changamotoooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi zao zina stress sana, wanahitaji faraja.Maaskari na walimu ndio wanaongoza kujiua kwa visa vya mapenzi, kwanini?
Duuh kwani kitu kinacho itwa mapenzi bado kipo!MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.
Marehemu aliyetambulishwa na polisi kama Dennis Mwaniki Njeru, 32, almaarufu kama Mukono, alipatikana amelala kwenye kitanda chake na barua aliyoandika kando yake.
Kulingana na polisi, marehemu alikuwa anavuja povu kupitia pua lake huku kemikali inayoshukiwa kuwa dawa ya kuua wadudu ikipatikana humo vilevile.
“Ni mwalimu kutoka Mbeere Kaskazini lakini anafunza katika shule ya Sekondari iliyopo Kaunti ya Kirinyaga, alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake. Uchunguzi wa awali umeonyesha alijtoa uhai,” alisema.
Kwenye kijikaratasi hicho, mwendazake alisema alichukua uamuzi huo baada ya mpenziwe kumkataa.
“Naweza nikaonekana mjinga lakini nimefungua moyo wangu kuhusu kinachoniumiza kwa watu 17 lakini hakuna aliyezungumza nami, acha tukutane mbinguni. Nimemsihi mpenzi wangu lakini yote yameambulia patupu. Nawapenda nyote,” alisema kupitia barua hiyo.
Bw Njeru vilevile ameacha maagizo kuhusu jinsi anavyotaka kuzikwa.
Ameagiza afisa mkuu katika Bunge la Kaunti pamoja na diwani wa eneo hilo kuongoza mipango ya mazishi yake.
Aidha, alisema azikwe Sikukuu ya Wapendanao almaarufu kama Valentine ambapo mpenzi wake anapaswa kusoma wosia.
Hakuna stress kwenye kufundisha mrembo, usisikilize maneno ya watuKazi zao zina stress sana, wanahitaji faraja.
Naongea kitu ninachokifahamu, nina ndugu waalimu nawaona wanayopitia.Hakuna stress kwenye kufundisha mrembo, usisikilize maneno ya watu
Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.
Huyo ndio mwanamke aliyefanya ajinyonge.Ni huyu?
Aliyejinyonga ni mwanaume. Kajinyonga kisa huyu mwanamke amemkataa.Ndio huyu teacher mwenyewe tukamfufue
Huyo jamaa mjinga sana, mpenzi wa mtu ànaendaje kusoma wosia kwenye kaburi la x?MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.
Marehemu aliyetambulishwa na polisi kama Dennis Mwaniki Njeru, 32, almaarufu kama Mukono, alipatikana amelala kwenye kitanda chake na barua aliyoandika kando yake.
Kulingana na polisi, marehemu alikuwa anavuja povu kupitia pua lake huku kemikali inayoshukiwa kuwa dawa ya kuua wadudu ikipatikana humo vilevile.
“Ni mwalimu kutoka Mbeere Kaskazini lakini anafunza katika shule ya Sekondari iliyopo Kaunti ya Kirinyaga, alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake. Uchunguzi wa awali umeonyesha alijtoa uhai,” alisema.
Kwenye kijikaratasi hicho, mwendazake alisema alichukua uamuzi huo baada ya mpenziwe kumkataa.
“Naweza nikaonekana mjinga lakini nimefungua moyo wangu kuhusu kinachoniumiza kwa watu 17 lakini hakuna aliyezungumza nami, acha tukutane mbinguni. Nimemsihi mpenzi wangu lakini yote yameambulia patupu. Nawapenda nyote,” alisema kupitia barua hiyo.
Bw Njeru vilevile ameacha maagizo kuhusu jinsi anavyotaka kuzikwa.
Ameagiza afisa mkuu katika Bunge la Kaunti pamoja na diwani wa eneo hilo kuongoza mipango ya mazishi yake.
Aidha, alisema azikwe Sikukuu ya Wapendanao almaarufu kama Valentine ambapo mpenzi wake anapaswa kusoma wosia.
Nachelea sana sana kumpuuza marehemu.MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.
Marehemu aliyetambulishwa na polisi kama Dennis Mwaniki Njeru, 32, almaarufu kama Mukono, alipatikana amelala kwenye kitanda chake na barua aliyoandika kando yake.
Kulingana na polisi, marehemu alikuwa anavuja povu kupitia pua lake huku kemikali inayoshukiwa kuwa dawa ya kuua wadudu ikipatikana humo vilevile.
“Ni mwalimu kutoka Mbeere Kaskazini lakini anafunza katika shule ya Sekondari iliyopo Kaunti ya Kirinyaga, alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake. Uchunguzi wa awali umeonyesha alijtoa uhai,” alisema.
Kwenye kijikaratasi hicho, mwendazake alisema alichukua uamuzi huo baada ya mpenziwe kumkataa.
“Naweza nikaonekana mjinga lakini nimefungua moyo wangu kuhusu kinachoniumiza kwa watu 17 lakini hakuna aliyezungumza nami, acha tukutane mbinguni. Nimemsihi mpenzi wangu lakini yote yameambulia patupu. Nawapenda nyote,” alisema kupitia barua hiyo.
Bw Njeru vilevile ameacha maagizo kuhusu jinsi anavyotaka kuzikwa.
Ameagiza afisa mkuu katika Bunge la Kaunti pamoja na diwani wa eneo hilo kuongoza mipango ya mazishi yake.
Aidha, alisema azikwe Sikukuu ya Wapendanao almaarufu kama Valentine ambapo mpenzi wake anapaswa kusoma wosia.
Point noted!!!!!Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.
Anayesemaga hayana muongozo yuko sahihiAliyejinyonga ni mwanaume. Kajinyonga kisa huyu mwanamke amemkataa.