Mwalimu ajinyonga kisa kuachwa na Mpenzi, aagiza azikwe Siku ya Valentine na Mpenzi ndio asome Wosia wake

Duuh kwani kitu kinacho itwa mapenzi bado kipo!
 
Hakuna stress kwenye kufundisha mrembo, usisikilize maneno ya watu
Naongea kitu ninachokifahamu, nina ndugu waalimu nawaona wanayopitia.

Lakini, kila mmoja na mtazamo wake na huo ni wangu juu ya hizo kada mbili.
 
Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.

Akili nyingi sana,hongera
 
Huu utamu huu unaleta madhara makubwa sana.

Mimi sijawahi kusikia wanyama wanajinyonga kwasababu ya mapenzi. Sisi huu upuuzi tunautoa wapi wanadamu?
 
Huyo jamaa mjinga sana, mpenzi wa mtu ànaendaje kusoma wosia kwenye kaburi la x?
 
Nachelea sana sana kumpuuza marehemu.

Siwezi kujisifu kuwa nina hekima kubwa kwenye hili.

Tuombe rehema ya Mungu maana mahusiano ni zaidi ya harakati za ugaidi
 
Hayo maneno katika barua yake kuna cha kujifunza. Mtu akikueleza shida yake mpe muda wa kumsikiliza, hata kama ni jambo lisilovutia kusikiliza.
Mwisho mpe moyo, hata kama unaona ni ujinga anaosema.
Point noted!!!!!
 
afya ya akili inatutafuna vijana
kwenye hiyo barua yake kuna ya kujifunza jamii mtu akiwa na matatizo tujitahidi kuzungumza nae
 
Mapenzi yanaumiza usipokuwa strong utakufa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…