Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

6. Usiingie kwenye makundi ofisini wala usipeleke umbea kwa mkuu wako epuka kutumika

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hoja yenye mashiko kwenu walimu wapya.
 
Usiingie na magia makubwa kwamba wewe ni mtaalamu sana kuliko wakongwe uliowakuta.

ONYO ;- ukikuta kuna vitu (tena vingi) wanafanya fyongo usiwakosoe ila tiririka nao hivyo-hivyo.
Nakukumbusha tu ---wengi wao (hasa wakongwe) wamejizindika kwa ndumba na wanafanya kazi kwa upole na taratibu hawahitaji changamoto-mavi za masela V/s masista-duu !
 
Vipi walimu wa chuo, nao hawaruhusiwi kula miwa.
 
Mkuuuu kwanini wasikopeee
Si mishahara Yaoo
Waache Wakopee bwanaa aseee
FAIDIKA ,Fanikiwa na Wengine wale wapi wao
Mkuuu tunategemeana mkuuuu.
UNATAKA NMB na CRDB WALE WENYEWE HAPANA MKUU TUTAKULA WOTEE WALLAH
 
6. Usiingie kwenye makundi ofisini wala usipeleke umbea kwa mkuu wako epuka kutumika

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hoja yenye mashiko kwenu walimu wapya.
Kuwa kibaraka ni mbaya sana
 
Hahaa! Sawa mkuu uamuzi ni wao
Mkuuuu kwanini wasikopeee
Si mishahara Yaoo
Waache Wakopee bwanaa aseee
FAIDIKA ,Fanikiwa na Wengine wale wapi wao
Mkuuu tunategemeana mkuuuu.
UNATAKA NMB na CRDB WALE WENYEWE HAPANA MKUU TUTAKULA WOTEE WALLAH
 
Hahaha! Unakutana na mkongwe ana miaka 15 kituoni halafu wewe unafika leo unajifanya mjuaji
 
Kuna jamaa yangu mmoja alipangiwa Kigoma tulizika kabla hata ya mwaka kazini kwa issue hizi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…