Mwalimu akipata Ruhusa kwenda kusoma hatua gani inafata?

Mwalimu akipata Ruhusa kwenda kusoma hatua gani inafata?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Kwa walimu, nikipata ruhusa ya kwenda kusoma... iwe degree at diploma, ninapo ondoka kituoni naandika barua ya kuondoka? kama ndio nina attach na document gani?
 
andika barua ya kuomba kwenda masomoni ukiambatanisha na joining instruction ya chuo ulichopata basi.
 
Back
Top Bottom