TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

A ball in the space, a man in the space a ball in the net!

Style yake ya uchambuzi wa soka la ndani(Bongo) ilikua inaburudisha saana sana. Hakua mtu wa jazba wala hasira na alichangamana vizuri na vijana aliowapita umri kwa mbali sana kiasi cha kua kama ni watoto wake na wote akiwaheshimu

Poleni sana ndugu, familia, marafiki na TBC
 
Alikuwa anafahamu vizuri kazi yake, alikuwa habahatishi. R.I.P Mwl Kashasha
 
Kuanzia 2019 nchi imepoteza vichwa vingi! Yani kuanzia kwa Ruge, Kibonde, Mengi,....... mpaka kwa Kashasha!

Mola awalaze mahali pema peponi ameen!
 
R.I.P Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…