Nionavyo mimi hapa nchini kuna maeneo ambayo serikali haina mamlaka juu yake na inawezekana raia wa maeneo hayo wako juu ya sheria kinyume na katiba ya JMT.
Iweje mtu afanye uhalifu/mauaji bila hata kushughulikiwa na vyombo vya usalama? Kwa nini huyu kijana (mpumbavu) aliyemshambulia mwalimu kwa mapanga hadi kupelekea kifo chake hajakamatwa mpaka leo?
Kwa nini serikali isiwazuie hawa wamasai/wasonjo kutembea na mapanga, marungu, fimbo, n.k?
Kuanzia sasa nimewachukia sana hawa watu wa jamii ya kimasai maana wamekua makatili hakuna mfano hasa nikikumbuka jinsi mwalimu alivyokua akivuja damu baada ya kucharangwa mapanga.
Ee Mwenyezi Mungu tuokoe na hawa watu.